Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akilisikiliza maelezo kuhusu zawadi aliyokabidhiwa kama ishara ya kumkaribi...
Home
Archive for
December 2014
TALIBAN WAUA WATU 126 WAKIWEMO WANAFUNZI ZAIDI YA 100 NCHINI PAKISTANI
Majeruhi katika shambulio hilo wakipatiwa huduma za kitabibu.
ZOEZI LA UANDIKISHA WAPIGA KURA KIELEKTRONIKI (BVR), KWA MAJARIBIO LAANZA DAR
Zoezi la kuandikisha upya wapiga kura wenye sifa, kwa kutumia mfumo mpya wa kidigitali au kielektroniki, yaani Biometric ...
DIAMOND NA KUNDI LAKE WALA CHAKULA NA WATOTO YATIMA MOMBASA NCHINI KENYA
Diamond Platnumz na kundi lake wakiwa na watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya walipotembelea makazi yao na kula chakula na wat...
MIKATABA YA KIMATAIFA YAISAIDIA TANZANIA HIFADHI YA JAMII
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana (kulia) akizungumza katika mkutano wa siku tatu wa kimataifa...
RUSHWA NI TATIZO SUGU KATIKA NCHI YETU, NANI ATAWEZA KUIONDOA?
MWANDISHI Eric Shigongo KATIKA kumuenzi Mungu, kila mtu ambaye leo afya yake ni nzuri hana budi kumshukuru na kumtukuza huku akimuo...
BARABARA ZA JIJINI DAR KUENDELEA KUIMARISHWA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Mecki Sadiki akifungua mkutano wa Wajumbe wa Baodi ya Barabara ya Mkoa wea Dar es salaam leo...
Waliokiuka makubaliano ya Ukawa kuwajibishwa
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu uchaguzi wa Serikali za ...
ESCROW YAMNG'OA WAREMA
Kikwete amkubali kujiuzulu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, amejiuzulu.Jaji Werema amelazimika kujiuzulu ku...
MHE. HAWA GHASIA ASEMA HAJIUZULU NG'O KUFUATIA KASHFA YA KUVURUGIKA KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Waziri wanchi ofisi ya waziri mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema leo Jumatano Desemba 17, 2014, kuwa hatajiuzulu ng’o kutoka w...
IDARA YA UHAMIAJI MKOA WA NJOMBE YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA WILAYANI MAKETE
Watoto yatima wakipewa zawadi na Idara ya uhamiaji mkoa wa Njombe Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akiwa amembeba mtoto ya...
ESCROW: Mwanasheria mkuu wa serikali, Jaji Werema ajiuzulu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (pichani) leo amejiuzulu nafasi yake na tayari amemwandikia barua Rais wa J...
D'BANJ AMZAWADIA RAIS WAKE WA NIGERIA ZAWADI HII YA CHRISTMAS
Dapo Daniel Oyebanjo a.k.a D’Banj amekuwa Balozi wa bidhaa za Beats by Dre kwa upande wa Afrika kwa miezi kadhaa sasa, dili lin...
MAPACHA WALIOUNGANA WATENGANISHWA
Watanzania waendelea kufaidika kutoka kwa hospitali ya Apollo iliyoko nchini India. Hii ni kufuatia hosiptali hiyo kufanikiwa kuwate...
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)