RICK ROZAY NA YOUNG JEEZY WAZICHAPA BACKSTAGE


Rick Ross and Young Jeezy
Licha ya kupanda kwenye stage wasanii wa wakubwa wa hiphop kwenye hiphop bet awards 2012 huku atlanta jumamosi ya jana, unaambiwa show kali ilikua backstage
Ross Rick na Young Jeezy waliripotiwa kujibizana na kusukumana wakiwa backstage na kusababisha tuzo hizo kusimama kwa muda
website ya TMZ imeripoti kuwa Mashahidi wa macho waliwaona wakibadilishana maneno makali Backstage kabla ya kuanza kusukuma. Security wa BET na bodygads wakaingilia kutuliza ugomvi lakini baada ya kutulia kiaina inasemekana mmoja wa kundi la rozay alirusha risasi wakiwa parking.
Rozay na jeezy ambao wotewamesainiwa na def jam wamekuwa na beef kitambo ila show iliendelea kama kawa na rozay alipanda stage na omarion ambae yuko chini MMG.
wakati jamaa wakiendeleza beef Fat JOe na 50 Cents walimaliza beef lao jukwaani walipopanda kutoa heshima kwa manager Lighty ambae alikutwa kajiua mwezi mmoja uliopita
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment