Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Mecki Sadiki akifungua mkutano
wa Wajumbe wa Baodi ya Barabara ya Mkoa wea Dar es salaam leo. Kushoto
ni Katibu Tawala wa mkoa Bi.Theresia Mmbando na Naibu Waziri wa Kazi
Mh.Makongoro Mahanga (kulia).
Meneja wa TANROADS mkoa wa Dar es salaam Muhandisi J. Nyamukama
akiteta jambo na baadhi ya wahandisi wa ofisi yake leo jijini Dar es
salaam wakati wa kikao cha Bodi ya Barabara ya mkoa wa Dar es salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema(kushoto) na mkuu wa wilaya
ya Ilala Bw. Raymond Mushi wakifuatilia mkutano wa wajumbe wa Bodi ya
barabara ya mkoa wa Dar es salaam leo jijini Dar es salaam.
Mbunge wa Ubungo Mh. John Myika akichangia kuhusu hali ya usafi na uimarishaji wa miundombinu katika jiji la Dar es salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Barabara ya mkoa wa Dar es salaam Mh.
Idd Azzan Mh. akichangia kuhusu hali ya usafi na uimarishaji wa
miundombinu katika jiji la Dar es salaam. Picha na Aron Msigwa
0 comments:
Post a Comment