Balozi
wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akilisikiliza maelezo
kuhusu zawadi aliyokabidhiwa kama ishara ya kumkaribisha jijini
Wetteren Ubeligiji. Anayetoa maelezo ni Mhe. Live De Gelder Mkuu wa
Idara ya Ustawi wa Jamii jijini Wetteren. Balozi Kamala leo atatembelea
viwanda mbalimbali jijini Wetteren na atakutana na Wafanyabiashara kuel
BALOZI KAMALA AKARIBISHWA JIJINI WETTEREN UBELIGIJI
Balozi
wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akilisikiliza maelezo
kuhusu zawadi aliyokabidhiwa kama ishara ya kumkaribisha jijini
Wetteren Ubeligiji. Anayetoa maelezo ni Mhe. Live De Gelder Mkuu wa
Idara ya Ustawi wa Jamii jijini Wetteren. Balozi Kamala leo atatembelea
viwanda mbalimbali jijini Wetteren na atakutana na Wafanyabiashara kuel
0 comments:
Post a Comment