Mwanasheria
Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (pichani) leo amejiuzulu
nafasi yake na tayari amemwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete.
Rais Kikwete asema amepokea barua yake na kumshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha katika kipindi chote cha utumishi wake.
Sababu ya kujiuzulu ni kwamba ushauri alioutoa kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow haukueleweka vizuri.
0 comments:
Post a Comment