Diamond Platnumz na kundi lake wakiwa na watoto yatima mjini Mombasa
nchini Kenya walipotembelea makazi yao na kula chakula na watoto hao.
Diamond Platnumz akimsaidia mmoja ya watoto yatima wa kituo hicho mjini Mombasa nchini Kenya kula chakula.
Diamond Platnumz na kundi lake wakiwa kwenye kituo cha kulea watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya.
Diamond na kundi lake wakiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima mjini Mombasa nchini Kenya.
0 comments:
Post a Comment