Eminem azidi kuwakimbiza wasanii wenzake kwa view nyingi kwenye video zake (Berzerk viewers wafikia 3,096,065)kwa siku moja

Rapper Eminem amedondosha video ya single yake mpya "Berzerk" kutoka katika album yake mpya   “ The Marshall Mathers LP 2″...