Ni miezi miwili tangu Alicia Keys ajifungue mtoto wake, Genesis Ali Dean.
Tofauti na mastaa kama Beyonce na Kelly Rowland ambao walificha sana sura za watoto wao walipokuwa wadogo, Alicia Keys aliweka picha kwenye ukurasa wake @Instagram akiwa na mtoto wake, halafu nyingine akiwa na familia yake yote.
Post ya Alicia aliyoweka jana inasomeka hivi; “Motherhood
is a miracle that continues to unfold….. And the words I’ve been
writing can’t wait to be told! Wishing you a miraculous Sunday!“– @aliciakeys
0 comments:
Post a Comment