Fiesta Mbeya 2013 yavunja record za mikoa yote walio tembelea

Fiesta Mbeya imefanyika siku ya jana August 6, na katika histora ya fiesta tangu ilipoanza mwaka huu, (Mikoa 4 mpaka sasa) haijawahi kutokea, maraia kujaa uwanja wa mpira kiasi ya kusababisha milango ya uwanja kufungwa,
kwa mara ya kwanza imetokea Mbeya, katika viwanja vya Sokoine siku ya jana, (Big Up)

Nyomi

Noma Sana

Twendzetu
Dj Zero.

Ilikuwa ni shangwe mwanzo mwinga.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment