TID AMKOSA KOSA KUMPIGA MAKOFI SALAAMA WA MIKASI

Msanii wa bongo fleva T.I.D mnyama wa kutoka unyamani a.k.a mtu mbaya yote ayo ni majina yake huyu jamaa.jana alitaka kumpiga ngumi za mbavu na mateke mtangazaji wa kipindi cha mikasi cha east afrika SALAMA J baada ya mtangazaji huyo kumtolea maneno nachafu,kwa madai ya T.I.D anasema salama aliamza kumtukana matusi ya nguoni makwubwa ndipo alipo hamua kumwambia kwamba ahache kumtukama huku T.I.D akimpa onyo la mwisho mtangazaji huyo ila hakusikia ndipo MNYAMA aka ADUHI WA WATU T.I.D alipoanza kumtikisa na kutaka kumpasua kwa kutumia ngumi yake nzito na mateke yake yaleeeeeeee alio wahi kumtelemshia HASHIMU WA NBA kwa bati nzuri kulikuwepo na wapendwa ndio walio muokoa mtangazaji salama j

NI mwenzi toka marafiki zake wawili NGWEAIR NA CHIDI BENZ wapigane mbele yake na kuwaraumu sana kwa kosa ilo nayeye jana ataka kumualibu uso salama hadi sasa salama ajatoa tamko lolote kuhusiana na hili lililotokea ila tunakuhaidi pale tu tutakapo pata taharifa kutoka kwa salama j tutakujulisha.ASANTE KWA KUSOMA KARIBU TENA
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment