Wikiend iliyopita kundi la Sauti Sol walimake headlines duniani baada ya kuweza kumchezesha Rais Obama wimbo wa ‘Sura Yako’ wakati alipokuwa kwenye ziara Kenya…Leo Meneja wa kundi hilo amesema Rais Kenyatta aliwaahidi toka muda mrefu kuwasuport…pia nafasi hiyo imetoa mwanga kwao kwa kuwa wengi bado walikua hawalijui vizuri kundi hilo.
Sauti Sol walivyokutana na Obama

0 comments:
Post a Comment