Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU.
Jamaa ana kumbukumbu sana.
Na nahisi hapo anamuangalia Lowassa na kukumbuka yote aliyowahi kusema juu yake.
Afikirie "uchafu" wote waliosema Lowassa anao, bado aonekane "msafi kuwakilisha chama kuliko yeye"
Ni hapo unapotamani uwe na SELECTIVE AMNESIA
Sijui kuna sauti ngapi kichwani mwake sasa?
Na sijui kama kuna inayomuasa kufanya "maamuzi magumu"?
0 comments:
Post a Comment