Entertainment
Rapa Kanye West amechorwa tattoo mpya kwenye mikono yake miwili,
Tattoo hizo amechorwa Ijumaa Feb. 27 akiwa mjini London na mke wake Kim
Kardashian. Kanye amechorwa siku za kuzaliwa za marehemu mama yake Donda
na mtoto wake North West.
Tattoo zimechorwa kuwa lugha ya kirumi , tunaona tarehe June 15, 2013
birthday ya North na July 12, 1949 birthday ya marehemu mama yake Donda
aliyefariki mwka 2007.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment