50 Cent alivyompa tano rapa Drake


drake
Rapa 50 Cent amempa tano Drake kawa kuwa na album bora iliyomfurahisha. 50 Cent amesema “That nigga was on point, wasn’t he?, He came through there with his shit sharp. It was tight” . 50 Cent aliongezea kuwa hanaga wasanii wake bora au orodha yeyote ila ana wakati bora kwa kila msanii na anaamini huu ni wakati wa Drake.
 Album mpya ta Drake “If you reading this it’s too late’ imeuzo kwenye kiwango cha Gold [Zaidi ya kopi laki tano] ambayo mpaka sasa ni kopi 623,864 ndani ya wiki mbili.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment