Rapa J. Cole amezungumza hivi karibuni kuhusu kufungua record lebel yake binafsi na kutafuta wasanii. Cole anasema ” yuko kwenye harakati za kumtafuta msanii wa kike mwenye uwezo na kufanana na marehemu Aaliyah au Missy Eliot ” .
Kuhusu lebel yake ya Dreamville imprint J Cole anasema anawasanii wachecha anao wasaidia ila bado haijawa rasmi.J Cole anafahamika kuwa ni msanii anaye kaambali na mitandao ya kijamii na hapa anaelezea sababu ” Sina cha kuwaambia watu milioni tano kila siku au kila wiki sasa kwanini niwenao, nikiwa na chakusema nitasema tu ila sio kila mara “.
0 comments:
Post a Comment