Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha wa wasanii wanao wania tuzo za 16 za Vodafone Ghana Music Awards. VGMA 2015.
Ijumaa ya 27 Feb majina ya wasanii wanao wania tuzo hizo yametajwa na
Diamond ametajwa kuwania tuzo hizo kwenye kipengele cha msanii bora wa
Africa -Africa Artist of the Year] na anagombania tuzo hio na wasanii
Tiwa Savage wa Nigeria, Aka wa Africa Kusini, Don Jazzy na kundi la the
Mavin Group, Patoranking wa Nigeria na Yemi Alade wa NigeriaVigezi vya kushinda ni kazima mshindi apatikane kwa kupigiwa kura na raia ambazo zinachukua asilimia 40, Kuea za Academy ni asilimia 30 na asilimia 30 ni za Board yao.
0 comments:
Post a Comment