Msanii
mkongwe wa R&B kutoka Marekani ameingia kwenye misukosuko mara
baada ya kuacha kufanya show katika club ya gulf port.
Kulingana
na taarifa, inasemekana R.kelly alitekwa na kupigwa na vijana wa kundi
moja linalo jiita Goons mara baada ya kugoma kufanya show kwenye club
hiyo.Madai ni
kwamba alipewa hela kwaajili ya ku-perform lakini yeye hakufanya hivyo.
Sababu zilizo pelekea R.kelly kutofanya show hiyo ni kutokana na kuwa na uvamizi wa majambazi katika club hiyo mara kwa mara.
kwamba alipewa hela kwaajili ya ku-perform lakini yeye hakufanya hivyo.
0 comments:
Post a Comment