Hivi
juzi juzi kulikuwa na habari zilizo enea kwenye mitandao ya kijamii
kuhusiana na rapper Meek Mill kuwa na mahusiano na Nicki Minaj mara
baada ya Meek Mill ku-post picha ya Nicki Minaj kwenye page yake ya
instagram akiwa amevaa cheni yake.
Jambo
hilo lilizua maswali mengi kwa watu kwamba iweje Minaj avae cheni ya
rapper huyo huku akiwa amevaa vest tu.Wawili hao waliokuwa marafiki kwa
muda mrefu sasa,wamezidi kuingia kwenye headlines baada ya picha hiyo
ikionesha Meek Mill ana-mkiss Nick Minaj.
Katika
tamasha la Bowl walionekana wakiwa deep in love tofauti na kawaida
ilivyo zoeleka,lakini wawili hao walipo ulizwa walisema ni marafiki tu.
0 comments:
Post a Comment