Ambwene Yesaya a.k.a AY amedondosha video ya wimbo wake aliomshirikisha
Ms Triniti "Its Going Down" sambamba na wimbo mpya "Zigo"
uliotengenezwa na producer Nah Real huku mixing ni za mkono wa producer
Makochali.
Tazama video hiyo mpya ambayo location yake ni Califonia nchini Marekani
0 comments:
Post a Comment