Bondia anaewakilisha Tanzania kutoka mji kasoro bahari, Morogoro, leo
hii amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela na faini ya shilingi
milioni moja.
Cheka amehukumiwa kifungo hicho na hakimu mkazi "Saidi Msuya" mahakama
ya mkoa wa Morogorobaada ya kukutwa na kosa la kumpiga Meneja ya Bar
yake.
Kwa upande wake Cheka amedai kuwa ameonewa kwa hukumu hiyo n awako njiani kuakata rufaa
0 comments:
Post a Comment