Wiki
iliyo pita mwana dada Ambe Rose ali-post kwenye page yake ya IG na
kuandika kwamba ataenda nchini Nigeria kwa ajili ya D'banj na hiki
ndicho kilicho jiri.
D'banj
alimuita Amberose kwa lengo la ku-host kwenye show yake aliyokuwa
ameiandaa mjini Lagos mabapo show hiyo ilihudhuriwa na ma-celebrities
wengi akiwemo Iyanya.
Endelea kutazama picha nyingine.
D'banj alipata nafasi ya kuwaonyesha tuzo zake alizo wahi kushinda katika muziki.
0 comments:
Post a Comment