Rapper
mkongwe 50 Cent hivi karibuni amezidi kuingia katika headlines baada ya
kuingia katika ugomvi na msanii mwenzake A$ap Rocky mara baada ya
kutumia page yake ya twitter na instagram kwa kupost matusi akimtukana
rapper huyo.
50
Amekuwa aki muandama Asap kutokana ali-post picha ya x-girlfriend wa 50
kwenye page yake,kitu ambacho kili mkera sana 50 na kuanza kumfurumushia
matusi.
Tazama picha zinazo onesha post za wawili hao
0 comments:
Post a Comment