Ni
time nyingine tena ya kukusogezea post yenye pichaz za nyumba za kisasa
angalau kama ulikua na wazo la kujenga au kuboresha kwako upate idea za
nyongeza.
Kuna wengine hawana uwezo wa kujenga nyumba kama hii lakini naamini una uwezo wa kujifunza kwa vitu vidogovidogo kama garden, mpangilio wa nyumba kama vile sebule, jikoni au nje, madirisha, jinsi wenzetu wanavyoziweka taa kwenye nyumba pamoja na mengine.
Hii nyumba ipo California Marekani.

0 comments:
Post a Comment