Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe, 90, alianguka mpaka chini mara tu baada ya kumaliza speech aliyokuwa akiitoa kwa wafuasi wake waliokuja kumpokea airport baada ya safari yake kutoka Ethipia, ijumaa iliyopita.
Mugabe ameanguka baada ya kukosea ngazi alipokuwa akishuka tayari kwa kuingia kwenye gari lake.
Baada ya picha hizo kusambaa, maraia wakaanza kazi yao ya kutengeneza
memes zilizozagaa katika mitandao ya kijamii. hizi ni baadhi tu ya picha
hizo
0 comments:
Post a Comment