Akiitumikia
klabu yake ya Arsenal kwa mara ya pili kwenye michuano hiyo, Welbeck
aliungana na washambuliaji Mike Newell, Andy Cole (mara mbili), Alan
Shearer, Owen (mara mbili) and Rooney – kuwa wachezaji pekee raia wa
Uingereza ambao wamewahi kufunga hat trick katika michuano ya ulaya.Magoli yake matatu yaliisaidia Arsenal kushinda 4-1
0 comments:
Post a Comment