Kuvunjika
kwa ndoa ya mastaa Amber Rose na Wiz Khalifa kumeendelea kuchukua
nafasi kwenye headlines za dunia na hii ni baada ya Amber kutaja chanzo
mojawapo cha kuvunjika kwa uhusiano huo.
Kwenye interview ya Radio Amber amesema kingine kilichomkasirisha ni
kuona Wiz anawaendekeza warembo flani wawili mapacha ambao inaaminika
amekua akijihusisha nao kimapenzi.
Amber amesema alipenda kuiokoa ndoa yake ili waendelee kuwa pamoja
lakini anaeonekana kukataa kuendelea kuwa kwenye ndoa ni Wiz mwenyewe,
Amber anasema hata taarifa za mwanzoni kwamba walitengana siku nyingi
kabla ya kutaka talaka zilikua za uongo…. hakufanya maamuzi yao sababu
alitaka kuiokoa ndoa yake.
Amber amemshutumu Wiz kwa kutoka kimapenzi na hawa mapacha kwenye hii picha hapa chini…
Home
Amber Rose kaitaja sababu nyingine ya kuachana na Wiz Khalifa
HII NDIO SABABU YA AMBER ROSE KUACHANA NA WIZ KHALIFA
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment