Jina
lake ni Nelson Paviotti ambae anachokifanya kwenye maisha yake ni
kutimiza ahadi ambayo aliitoa kwamba kama Brazil ingeshinda kombe la
dunia mwaka 1994, haya yote ndio angekua anayafanya.
Unaambiwa amekua akivaa nguo zenye rangi ya timu yake ya taifa
(Brazil) kwa miaka 20 sasa hivi ambazo ni njano, kijani, blue na
nyeupe…… rangi ambazo ndio zipo kwenye magari yake mawili ya VW Beetles
na ndani kuna spika zinazocheza wimbo wa taifa kila anapoingia.
Ofisi zake na nyumbani kwake kote kunafanana rangi, yani mpango ni
njano, blue nyeupe na kijani mpaka hata kwenye viatu.. computer, simu,
mapambo ya nyumba na sehemu nyingine.
Mwanasheria huyu ana umri wa miaka 57 sasa hivi.
Hadi church?
Home
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment