Siku ya jumapili kwenye Summer Jam Hip Hop na R&B, Nicki Minaj
alionekana akiwa amevaa ki top cha silver chenye kuonyesha maziwa yake
kikiwa kimezibwa na alama ya nyota kwenye nipples zake.
Mambo yalizidi kuwaka moto zaidi pale Nicki Minaj alipomrukia Drake
kwenye stage na kuzungusha miguu yake kwenye kiuno cha Drake na
kumuwekea mikono mabegani na Drake nae kuzungusha mkono wake kwenye
kiuno cha Nicki,
kitu ambacho hakikumfurahisha Rihanna ambae alionekana kuweka sura ya mbuzi alipokuwa akitazama waliyokuwa wanayafanya stajini.
Rihanna na Drake kwa sasa wameachana
tanguwalipoaznza kudate mwaka 2009 baada yakupokea kipigo kutoka kwa
Chris Brown.
0 comments:
Post a Comment