Waschana wawili wenye asili ya kisomali Siham na Iman wameingia katika
tasnia ya muziki baada ya kuondoka nchini kwao kwa sababu ya vita, na
kuendelea kuwa wasemaji wakubwa wa nchi yao ambayo mpaka hivi sasa ina
migogoro.
Kwasasa wawili hao wako nchini marekani LA na wako chini ya lebo kubwa
kwa ajili ya kuendeleza vipaji vyao ambapo wamejichagulia mziki kuwa
kazi yao kubwa katika maisha yao.
Video hii ime-rekodiwa katika jangwa nje kidogo ya Nairobi nchini Kenya
Chini ya Studio Africa: video hiyo ilifanikiwa kutengenezwa
0 comments:
Post a Comment