Mapacha wa Kihindi wanaomtafuta baba yao,sikiliza kupitia Hekaheka ya June 04.


mapachaNi mapacha wenye damu ya kihindi baada ya kusemekana mama yao alikua akifanya kazi kwa wahindi akapewa ujauzito na mtoto wa bosi wake,baada ya ujauzito alirudi kwao Kondoa na kujifungua watoto hao aliowapa majina ya Hasani na Husein baba wa watoto hawa anaitwa Ismail.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment