Mshindi
wa shindano la Unique model 2012Catherine Masumbigana akionyesha mavazi
katika onyesho la mavazi la Lady in Red,onyesho hili lilifanyika Serena
hotel jijini dar mwishoni mwa wiki iliyopita.
Unique model Catherine alipokabidhiwa tuzo ya mwanamitindo alievaa vazi la lady in red fashion show 2013.
TUJIKUMBUSHE YALIOPITA
Winnie shayo.
0 comments:
Post a Comment