Pharrell Williams, Kendrick Lamar na
Janelle Monae ni moja kati ya wanaotarajiwa ku - perform katika game ya
NBA all Stars weekend, ambapo Pharrell amepangwa ku-perform wakati wa
ufunguzi wa game na kuungana na waalikwa wengine, akifatiwa na Kendrick
ambaye ata headline ratiba ya jumamosi usiku ambapo ata - perform kabla
ya Sprite Slam Dunk, huku Janelle Monae amepangwa kufanya yake wakati wa
mapumziko ya game ya NBA All Star
0 comments:
Post a Comment