Katika mechi ya kikapu leo kati ya team
Adam Juma na team Karabani kulikuwa na vitu vingi vizuri sana moja wapo
ilikuwa ni hili, baada ya mechi kuisha na team ya Adam Juma kuondoka na
ushindi watu wengi walikuwa na furaha sana moja wapo ni hili la Director
Nisher alipotoka sehemu alipokuwa akitizama mechi hii na kwenda hadi
katikati ya uwanja na kumfuata Director Adam Juma na kumpongeza kwa kile
kilichofanyika na kuzungumza mambo mengine na kuacha tofauti zile
zilizotokea na hadi watu kujua kuwa kuna BEEF la chini chini
linaendelea.
Home
Madirector hawa wawili Adam Juma na Nisher wakutana uso kwa uso.
Madirector hawa wawili Adam Juma na Nisher wakutana uso kwa uso.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment