Rapper
Rick Ross ameweka wazi kupitia twitter account yake kuwa Record lebel
yake ya MMG inataka kuanza kufanya filamu na tayari ameanza maongezi na
Steve Stoute.Kama hufahamu Steve Stoute ni mtu aliyesaidia mafanikio ya wasanii wengi sana akiwemo Jay z, Nas, Eminem na wengine wengi.
Rick Ross ameandika kwenye twitter
0 comments:
Post a Comment