Rapper Maino amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kuita kazi yake mpya K.O.B. (King Of Brooklyn)
inayotoka February4 nakusema kuwa kwenye mixtape hii amejipa jina la
king of Brooklyn jina linalotumika na rappers wakubwa New York kama
Marehemu Notorious B.I.G, Msanii Jay Z, na Fabolous .Maino amesema wasanii hao wote wamefahamu kuwa atatumia jina hilo na hawana habari na jambo hilo tofauti na watu walivyo tegemea. Maino anasema Jayz Na Fabolous tayari ni wasanii wakubwa na kujali kuhusu jina nalo jipa msanii kama mimi sio kazi yao kabisa.
Maino amemwita rapper Jay Z ” The king of the world” Na kwamba mtu kama huyo hana muda na rapper kama Maino.
0 comments:
Post a Comment