Picha Na Info, Polici Wametoa Taarifa Ya Dereva Aliyekuwa Kwenye Gari Na Paul Walker

Baada ya uchunguzi wa awali kugundua kuwa Paul Walker alikuwa abiria, Polici wamechunguza na kutoa taarifa kuwa dereva Aliyekuwa Kwenye Gari Na Paul Walker anaitwa Roger Rodas mwenye miaka 38.


Roger ni rafiki na mfanya biashara mkubwa wa magari. Pia Roger Na Paul wana mmiliki kwa pamoja duka la magari na shughuli hio walio hudhuria ili husu kuchangisha pesa na kujitolea kupitia Organisation yao waliyoanzisha pamoja ya Reach out World Wide.

Roger ni mwanamichezo wa wa muda mrefu alikuwa akishindana kwenye mashindano ya gari ya kasi sana ndio maana imeshtua watu kusikia alikuwa dereva kwani wanaamini Roger kuwa ni dereva mzuri sana.
Gari waliyopata nayo ajali ni ya Roger Rodas.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment