Picha Na Info, Paul walker Star Wa Fast and Furious Afariki Dunia Kwenye Ajali ya Gari



Shabiki wa filamu kubwa duniani Fast and Furious atakuwa sio mgeni wa kazi za star Paul Walker. Huyu ni kijana aliyepata umaarufu mkubwa kupitia
kazi zake za uigizaje kwenye filamu za Fast and Furious na nyingine.

Story ya kifo chake imechukua nafasi kubwa kwenye mitandao leo na zinasema kuwa star huyu alikuwa anatoka kwenye shughuli ya kuchangi  watu kupitia  organisation yake ya Reach out World Wide.

Paul Walker alikuwa na mwenzake ambaye ndio aliyekuwa dereva wa gari la kifahari aina ya Porsche Carrera GT na wakiwa njiani kurudi nyumbani ndio dereva akapoteza control ya gari na kugonga nguzo ya taa uliokuwa pembeni mwa barabara.
 Hii ndio gari aliyopata nayo ajali na picha ilipigwa saa chache kabla ya kifo chake.
Hapo unaona gari ilivyo gonga nguzo na kukatika kati kati.

Habari pia zinasema baada ya gari kugonga nguzo ya taa lika waka moto mkubwa uliopelekea kifo cha Paul aliyefariki akiwa na  miaka 40.

Paul ameacha mtoto wa kike wa miaka 15.

Kifo cha Paul kitapelekea mauzo makubwa ya filamu zake ikiwemo Fast and Furious.
Hapo Paul Akiwa Na mtoto wake kike.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment