Baada ya kuwaacha, B hits wanasemaje kuhusu kumpa Vanessa Mdee nyimbo zake zilizobaki studio?

vanessa mdSiku kadhaa tu baada ya B hits kusema haitotoa msamaha kwa wasanii wake ambao ni Vanessa Mdee, Gosby na Mabeste kutokana kufanya mambo nje ya mkataba pamoja na utovu wa nidhamu, kampuni hii iliyohusika kutoka hits kadhaa za bongofleva imetoa tamko kuhusu nyimbo za Gosby na Vanessa ambazo zimeachwa kwenye studio hiyo waliyokua wakifanya kazi.
Amani ambae ni msemaji wa B Hits anasema ‘hizo nyimbo ziko hapa, Gosby ndio ana nyimbo nyingi kuliko Vanessa na hatuko tayari kuwapa..  pia kuna swali kubwa ambalo watu wengi wanauliza kwa nini B Hits haikai na Wasanii na kila mara inakorofisha… sababu kubwa ya Wasanii wengi kuondoka B Hits ni hii mikataba tuliyoitengeneza’
Studio ya B hits mpaka sasa imeshatengeneza hit single kama ‘Closer’ ya Vanessa Mdee, ‘habari ndio hiyo’ ya FA & Ay pia ‘nangoja ageuke’ na single nyingine kadhaa.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment