Snoop Dogg Afunguka Kuhusu Rap Game Na Kubadilisha Majina.Rapper Snoop Dogg amefanya mahojiano ya kwanza kuhusu kubadilisha jina kutoka Snoop Lion na kuanza kutumia Snoopzilla.

Snoop Dogg amefunguka kuhusu jina analotaka kuitwa sasa na kusema kama watu wanachanganyikiwa basi wamuite Snoop tu sio issue kubwa sana na kuhusu project yake mpya ya 7 Days Of Funk na Dam-Funk Snoop kasema ni kazi kubwa yenye mategemeo yakufanya vizuri Ila shabiki aelewa kuwa SnoopZila sio jina langu ila ni jina la kundi linalo husika na 7 Days Of Funk.

Kuhusu rap Game, Snoop Dogg amesema kwa sasa rap game imebadilika na vijana wanaonyesha uwezo mkubwa wakipewa nafasi, Mfano mzuri ni rapper Kendrick Lamar amefanya vizuri kwenye cypher ya Bet mwaka huu na pia kilicho nivutia zaidi ni ucheshi wa Kevin Hart alisema Snoop .
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment