Brandy Ahairisha Harusi Ili Kukamilisha Album Ya 7

Msanii wa rnb Brandy ameweka pending harusi yake na mchumba wake wa muda mrefu Producer Ryan Press ili kukamilisha cd yake ya saba aliyoanza kurekodi mwezi wa tisa mwaka huu.

Brandy amethibitisha kuwa tayari ameanza kazi ya album mpya ia itakuwa Na Nyimbo za Gospel Pia. Kwenye orodha ya producer Mike Will, Timbaland, Pharrell na Rodney Jerkins wapo.

Brandy amekuwa akifanya mahojiano tofauti hivi karibuni na bado mpaka sasa hajasema kama album itakuwa na nyimbo za dunia tu au za injili tu.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment