Rapper wa Young Money Nicki Minaj Amesema Mambo Mengi Kwenye Muziki Wake
Yamehamasishwa Na old skul rapper wa kike Queen Latifah na ndio maana
muonekano wake ni kama wa Latifah.
Kwenye kipindi cha Queen Latifah Nicki Minaj
amefunguka kuwa anashukura sana alipata nafasi ya kusikiliza kazi zake
mapema na kujua nyayo za msanii gani azifate Nchini Marekani. Picha hii
moja wamepiga wakiwa pamoja kwenye kipindi cha Latifah ' The Queen
Latifah Show'
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment