Msanii Rabbit Wa Kenya Afanya Kazi Ya Uzalendo

 
Baada ya kushika sana mitaa na rekodi yake ya Ligi Soo, Msanii Rabbit aka Kaka Sungura ameamua kuugeukia uzalendo zaidi kupitia kazi yake mpya ambayo inakwenda kwa jina 1963 'United Kenya' kwa ajili ya kuonyesha mapenzi na nchi yake.
Nyimbo hii maalum kwa ajili ya kuienzi nchi ya Kenya, pia ni kwa heshima ya siku ya Mashujaa iliyoadhimishwa hivi karibuni nchini Kenya na kuhudhuriwa na Rais Uhuru Kenyatta.

Huu ni muendelezo wa kazi safi kutoka kwa Rabbit ambaye ameonyesha hatua kubwa za mabadiliko na maendeleo katika muziki wake.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment