Cpwaa Asema Video Za Bongo Pesa Nyingi Zinatumika Ila Ubunifu Bado, Fuatilia Hapa.

Mkali wa crank Tanzania Cpwaa leo amesema kuwa Wimbo wake mpya wa Chereko Chereko umelenga masoko yote, nje na ndani ya Tanzania na video ikitoka shabiki utaelewa hilo zaidi. Fahamu kuwa mara ya mwisho Cp ametoa wimbo ilikuwa mwaka jana alipotoa Double Release yani ngoma mbili kwa wakati moja. Nyimbo Mambo na 12 O'clock .

Cpwaa pia amezungumzia kuteka soko la nje na kusema kuwa kwa sasa msanii wa Africa ilikushine njee lazima ufanye muziki wa nyumbani yani African Music na sio kama Wamarekani sababu tayari muziki wa Africa imeshika soko.

Pia kuhusu video mpya Cpwaa kasema Hata weza kufanya video ya wimbo wake wa Mambo ila video zingine zipo na zinakuja. Pia Cpwaa amesema video bongo zimeboreshwa ila bado ubunifu hakuna ingawa wasanii wanatumia pesa nyingi kufanya video.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment