RAPA LIL WAYNE AOMBARADHI KWA MASHABIKI WAKE ANAKUSEMA KUWA SASA ATAANZA KUFANYA KAZI

Rapa Lil Wayne, Baada ya kuona kuwa kwa mwaka huu na katika siku za karibuni amekuwa mbali kabisa na nominations za tuzo mbali mbali na hata perfomances pia, Kabla hata ya watu kuanza kuongea/kuponda, ameamua mwenyewe kuongea na kuwaomba msamaha mashabiki wake.

Wayne kupitia mtandao wa twitter amekiri kuwa hili ni tatizo na ameahidi kufanya kazi kwa bidii ili kurudi katika levo zake.

Hivi ndivyo alivyoandika Lil Wayne na kupata support za kutosha kutoka kwa fans.

SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment