Kanye West Kumlinda Mtoto Wake


Kutokana na kero za kuzongwa na mapaparazzi kila wakati wanapokuwa katika mishe zao mitaani, Kanye West ametangaza kuwa, sasa hivi baada y a kuwa na mtoto, ana mpango wa kuongea na Meya wa jiji la New York na meya wa jiji la Los Angeles kuhusiana na kutengeneza 'zones'/mipaka katika sehemu ambazo mtoto wake atakuwa akipita waandishi wasifike.

Kanye amesema kuwa, anachukia sana waandishi wa habari na wanamkera sana na saa nyingine wanahatarisha maisha yake, na sababu kubwa ya yeye kuwachukia ni kutokana na ukweli kuwa lengo lao kubwa ni kumsumbua ili kutengeneza story ambazo hazipo kwaajili ya kujifurahisha wao.
 

Kama mpango wa Kanye utafanikiwa, maana yake ni kuwa katika maeneo ambayo Kanye anaishi huko Los Angeles na New York na sehemu zinazowazunguka, kutakuwa na mipaka ambapo kila sehemu wanapokwenda, watu hawataruhusiwa kuwasogelea kabisa 'especially mapaparazzi.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment