Serikali Ya Zurich Ina Mpango Wa Kuifanya Biashara Ya Ngono Kuwa Ya Kistaarabu Zaidi , Picha Na Story Hapa


Katika jitihada za serikali ya Zurich kupunguza biashara ya ukahaba mitaani na kufanya biashara ya 'ngono' kuwa katika utaratibu wa kistaarabu zaidi, imeamua kuanzisha huduma ya 'Drive In Sex Boxes'.
Katika huduma hii, Serikali imejenga vituo ambavyo watakuwa wakikaa 'wanaojiuza', na wateja wao watakuwa wakiingia na magari yao, mmoja mmoja na kwa kuzingatia masharti yaliyowekwa watapatiwa huduma na kisha kuondoka.

Masharti haya ni kama vile kuwa na umri wa zaidi ya miaka 18 kupata huduma hii, Kuwa mmoja tu katika gari, Kuzingatia kutumia mpira wakati wa tendo na kuzingatia usafi kwa kuweka uchafu wote ndani ya dust bins.
Vituo hivi vitakuwa na mfumo wa alarm kwa dharura pamoja na ulinzi wa kutosha na vitakuwa pembeni ya miji kwa lengo la kuondosha kabisa makahaba wanaojiuza mijini na kuleta picha mbaya katikati ya jiji.
                   
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment