VIDEO : P-FUNK AAHIDI USHIRIKI MKUU NA FAMILIA YA MAREHEMU ALBERT MANGWEA MPAKA ATAKAPOZIKWA



Producer mkongwe katika game hii ya muziki, P-Funk Majani nae ameonesha ni jinsi gani alivyoguswa na na tukio hili la kuondokewa na msanii ambaye alikuwa ni rafiki yake wa karibu sana marehemu Albert Mangwair …

Majani ni producer pekee ambaye alishiriki kwa kiasi kikubwa kwa kuweza kufanya rapper Ngwairkutambulika katika game ya muziki wa Bongo Flava …

Akiongea na mwandishi wetu kutoka GongaMx.Com, Majani ameeleza utayari wake katika kushirikiana na familia ya marehemu Albert Mangwair mpaka rafiki yake huyo atapozikwa 
Mcheki MAJANI akiwa anaongelea suala zima kuhusina na msiba huu na utayari wake katika kushiriki
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment