MILLARD AYO AMEFIKA AFRIKA YA KUSINI KUJUA NINI KILICHO SABABISHA KIFO CHA NGWEA BAADA YA MANENO KUZUSWA NA WATU MBALIMBALI KWAMBA DAWA ZA KULEVYA NDO ZIMEMTOA DUNIANI
Kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook "Millard Ayo" mtangazaji wa Clouds FM, alitupia picha hii tayari akiwa Afrika ya Kusini leo. na hayo hapo chini, ndio maneno aliyoandika katika profile yake......
"Nimefika Johannesburg S.A saa 4 zilizopita ili kupata ukweli wa kifo cha Ngwea, kaa karibu na @CloudsFM mtu wangu!"
"#CloudsFM #SA Japo M2theP anapumulia mashine, amemuona Bushoke na watanzania wengine akapata nguvu kunyanyuka kidogo akiwa kitandani."
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment