Baada ya daimondi kuachana na wema watu walikuwa awajui nini kimeingia kati yao ila daimondi amefunguka na kusema alimpenda sana wema hadi kufikia hatua wema anamuaga daimondi kumba anaenda kulala kwa mwanaume mwengine na inabidi hakubali sababu ya mapenzi aliyokuwa nayo kwa wema na kila akiwa akimsii abadilike ndo kosa na motto unapo anza kati yao na kufikia hatua wema angaongeza mwanaume mwengine jumla wakawa watatu hapo ndipo alipo amua kujitoa ila moyoni alikuwa bado anampenda
nakila akijalibu kumpigia simu anajibiwa vibaya ndo akaona sio shida kwanini nisitoke na wengine.
Daimondi aomba msamaa kwa joketi kwa kumuingiza kwenyematatizo bati kwa sasa yupo na penny
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment