Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Narita,Japan kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa tano wa (TICAD) unaofanyika katika mji wa Yokohama.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Japan Bibi Salome Sijaona. Picha na Freddy Maro.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment